Majina ya ajabu humu jamiiForums

Majina ya ajabu humu jamiiForums

Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
Kuna Majina ya Ajabu haijawahi kutokea(in tundu lissu voice) mpaka mtu unajifikiria hilo jina alijipa au alipewa na mtu ,

Mfano Mtu unajiita kubwa jinga Jr ,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Asee inachekesha sana.

Ati we umeona jina gani La ajabu humu Jamii forum Share hapa tuone.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kunguni wa ulaya na Tunakodisha bunduki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
....

Ati we umeona jina gani La ajabu humu Jamii forum Share hapa tuone...

Si jina lingine zaidi ya Zero IQ
 
Back
Top Bottom