Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Dili la kuanzisha uzi au la kunipa cross?Nipe dili hilo basi kamanda
Why uteseke..
Nitakupiga jeki best
Ila nikianza kuhudumia nitakua peke yangu ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dili la kuanzisha uzi au la kunipa cross?Nipe dili hilo basi kamanda
Why uteseke..
Nitakupiga jeki best
poa, mambo niajeKaka vp
Umenuna au?😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Nimecheka hadi gego la mwisho hahhahahahaUmenuna au?
Mambo Full HD bropoa, mambo niaje
Safi uwe shem yangu sasa bro unamdatisha..Nimecheka hadi gego la mwisho hahhahahaha
Dah bora...ukinuna sijui itakuaje humuNimecheka hadi gego la mwisho hahhahahaha
Kama unadhindwa unasema tunakusaidia kuanzisha thread..Dili la kuanzisha uzi au la kunipa cross?
Ila nikianza kuhudumia nitakua peke yangu ujue
Ngoja nijaribu leo kwenda pm kwake, niombee kheri mkuu.Kama unadhindwa unasema tunakusaidia kuanzisha thread..
Ila gharama za matunzo juu yako..
Hapo kwenye prondo umekosea ni RRONDOnyani ngabgu,....farufausta,...farujohn.....,miss natafuta.....,prondo.....,HR666
@Kizimbuzi=kisimbuzi. Nilijiunga Jf wakata tunahamia digitali, sasa neno 'kisimbuzi'/ king'amuzi=decoder lilikuwa maarufu wakati huo
Vipi na yule gyntymercin[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Tena ya sindano inauma hiyo, ukipigwa inaua tako kwa muda..[emoji51][emoji51][emoji51]Nae ni dawa tu
Kadagala 1[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hio hilo Kichwa Kichafu ni zuri!!??