Majina ya hovyo kama Marioo, kwa nini yamejaa sana Uswahilini?

Majina ya hovyo kama Marioo, kwa nini yamejaa sana Uswahilini?

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
5,261
Reaction score
3,679
Waswahili ukitunzwa na mke unapewa majina ya hovyo kama Marioo! Hili neno silipendi ni basi tu

Wakati mnasema mke mwema hutoka kwa Bwana kwani mwenye kukupa pesa si mwema jamani? au nakosea!

Europeans/Indians,Arabs; wanaamini To every successful Men behind there is woman!

Africans; to every successful men behind there is criminalises/bureaucracy, witch crafts,self-indulgence and slanders.

Tunajazana ujinga kukacha wake wenye pesa, nakosea? vidume tutatoka?
kila mtu anataka kupendwa, na watu/mtu, Rais, Mbunge, Boss wa kampuni, Waziri nk.
hawa nao je ni Mario? hebu shukeni verses! nimechoka na slogan za uswazi!
 
Kwani marioo inamaana gani je,vipi kuhusu kimario yenyewe haihusiki
 
Haya ona sasa mara PUZO, KI BE-TEN, Yaani Bongo mna maneno ya kuu ana, Mptyuuu!
onngezeni mengine naona ha nafuu


amesema mmoja hapo napendekeza jina

Waitwe super rich man/ PERSON! SRP
 
Wewe ni Mario au kiben ten
Nilikuwa Mario mwanzo wa ndoa! na alinipata kweli! lknBila kujua huyohuyo, kwa hela yake hiyohiyo! niko tajiri mbovu mbaya leo, na nafikiria kuongeza jiko.
asije akanirestisha in peace kama Billionea Msuya alivo fanyiwa.
 
Back
Top Bottom