Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Ulaya makuli wanaitwaje?Yaani kuli aitwee afisa mizigo? Hacha mzaha mkuu, kuli atabaki kuwa kuli mkuu, maisha ni kuchagua hakuna kuli wala mzibua mitaro aliyefosiwa kufanya hizo kazi, huku kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ni kuendekeza uzembe, napendekeza watu hao waitwe hayo majina na ikiwezekana majina hayo yaongezewe ukali zaidi mfano kuli angeitwa, firauni wa mizigo , mzibua mitaro angeitwa kikomba mavi na Bodaboda wangeitwa nyumbu wa barabarani, ili vijana waumize vichwa zaidi kiutafutaji.. Over!!
Wengi wanajiita wapimajiMbona sisi ma surveyor tunaitwa "wasaka nyoka" na hatujawahi kukosa morale ya kazi
Ulaya ipi ...Urusi, Hungary, Slovakia, Croatia, Romania, Czech, Poland, Ukraine , ufaransa au ureno, Italia ..au ulaya ni moja!?? Ila Kwa kiingereza ni Porter....Ulaya makuli wanaitwaje?
HahahahaMajina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama
1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo)
2. Nyoka (angeitwa afisa msaidizi wa uchimbaji)
3. Bodaboda (angeitwa afisa msafirishaji)
4. Mzibua vyoo na Mitaro (angeitwa afisa afya daraja la 3)
Ongeza wengine.
Sasa sikia fanya hivi tengeneza Matangazo mawili ya tofauti ya lughaMajina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama
1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo)
2. Nyoka (angeitwa afisa msaidizi wa uchimbaji)
3. Bodaboda (angeitwa afisa msafirishaji)
4. Mzibua vyoo na Mitaro (angeitwa afisa afya daraja la 3)
Ongeza wengine.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yaani kuli aitwee afisa mizigo? Hacha mzaha mkuu, kuli atabaki kuwa kuli mkuu, maisha ni kuchagua hakuna kuli wala mzibua mitaro aliyefosiwa kufanya hizo kazi, huku kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ni kuendekeza uzembe, napendekeza watu hao waitwe hayo majina na ikiwezekana majina hayo yaongezewe ukali zaidi mfano kuli angeitwa, firauni wa mizigo , mzibua mitaro angeitwa kikomba mavi na Bodaboda wangeitwa nyumbu wa barabarani, ili vijana waumize vichwa zaidi kiutafutaji.. Over!!
Bora porter kuliko kuliUlaya ipi ...Urusi, Hungary, Slovakia, Croatia, Romania, Czech, Poland, Ukraine , ufaransa au ureno, Italia ..au ulaya ni moja!?? Ila Kwa kiingereza ni Porter....
Hii sio kaziMalaya angeitwa afisa mapenzi na faragha
Ni kazi ulaya wanalipa Kodi na kukata leseniHii sio kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kuli aitwee afisa mizigo? Hacha mzaha mkuu, kuli atabaki kuwa kuli mkuu, maisha ni kuchagua hakuna kuli wala mzibua mitaro aliyefosiwa kufanya hizo kazi, huku kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ni kuendekeza uzembe, napendekeza watu hao waitwe hayo majina na ikiwezekana majina hayo yaongezewe ukali zaidi mfano kuli angeitwa, firauni wa mizigo , mzibua mitaro angeitwa kikomba mavi na Bodaboda wangeitwa nyumbu wa barabarani, ili vijana waumize vichwa zaidi kiutafutaji.. Over!!