Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Unapaswa uanze na wewe, kwa kuwapa majina yako mwenyewe
 
Kwani Komeo la Chuma ni jina mkuu?
Hizi titles za JF si majina tunayojadili hapa.
Tunaongelea majina halisi ya kwenye vyeti na mitaani.
Inawezekana hujui maana ya jina. Title na jina ni vitu viwili tofauti.
 
Inawezekana hujui maana ya jina. Title na jina ni vitu viwili tofauti.
Najua title na jina ni vitu tofauti.

Nadhani wewe ndiyo unajichanganya.

Name identifies an individual or entity (e.g., "Emily," "New York").

Title provides a description or indicates the subject or position (e.g., "The Lord of the Rings," "CEO," "Mr.").

Sasa kama wewe unaona City Owl au Komeo la Chuma ni jina, sawa.

Mimi naona ni titles hizo.
 
Siyo titles. Kumbe huelewi. Unapo sign panaandikwa title au user name? Kumbe kuna mengi huyajui. Hilo ndo jina lako unalotumia humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…