komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Sijaanza kuwajadili, ama kuwahusudu. Nilijibu hoja kwamba black American wana maisha mazuri. Nikasema hapana,, uzuri kimaisha ni mtazamo tu.Na wao hawaoni kama unawazidi Sasa sijui ni shobo au nini mpaka uwajadili watu ambao wanafurahia maisha Yao wakiwa America na wewe upo Kwa mtogole