kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Geti la kusini unasemaje jombaaAcha uongo,wewe Southgate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geti la kusini unasemaje jombaaAcha uongo,wewe Southgate
Haya ni majina ya watu ambayo yana asili na maana tofauti, kulingana na tamaduni mbalimbali. Hapa chini ni ufafanuzi wa majina kadhaa:Emu niambie nini maana ya majina,Trump,Frank,Fredy,William,Paul,Pascal,Charles,Charlie,Zephania,Gerlad,James,Steven,Robert?????
Majina yetu na ya kizungu hayana tofauti mbona. Tatizo ni lugha ndio imetofautisha . Ni kama vile ukute makande pale kempisk. Utakuta jina utafikir anakuuzia mbingu kumbe makande.
Mleta mada hajui kuwa hata Afrika sio jina la kiafrika.
Kwani nyaraka za India au Rwanda au Israel haziko kwa kizungu. Umewahi kuona Mhindi anaitwa Mwighwano, au Lusinde ? Sisi ni watumwa, wajinga, washamba na limbukeni wa majina. Nimewasikia wanashangaa unapomuita mtoto jina la asili la kibantu " he, hee, jina gani hilo. Ningekuwa na uwezo ningecharaza viboko hawa binadamu weusi wasiojiamini.Ni ngumu , nyaraka nyingi za serikali zipo kwa kizungu, ndo waje walazimishe watu watumie majina ya kiswahili
Hata ungejiita jina la weupe mweusi huna maana,, mwisho wa mambo yote rangi yako nzuri sana nyeusi,, ndiyo utambulisho wa hadhi, heshima, thamani na utu wako. Ninaringa kuwa mweusi, ninajivunia kuwa na majina yote matano ya kibantu.Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
NI kweli mkuu nachotaka kumaanisha ni kwamba sisi hata hii lugha ya kiswahili ni kama tumeikubali shingo upandeKwani nyaraka za India au Rwanda au Israel haziko kwa kizungu. Umewahi kuona Mhindi anaitwa Mwighwano, au Lusinde ? Sisi ni watumwa, wajinga, washamba na limbukeni wa majina. Nimewasikia wanashangaa unapomuita mtoto jina la asili la kibantu " he, hee, jina gani hilo. Ningekuwa na uwezo ningecharaza viboko hawa binadamu weusi wasiojiamini.
Hakuna uhusiano wa kulogwa na kukataa majina ya kibantu. Kama ni uchawi mbona wana majina ya kizungu na kiarabu na bado wanaanguka mapepo na kulogwa. Narudia majina ya kizungu tunayaita kwa ushamba, na kulazimishwa na dini tu.Majina ya kiafrika yataisha hata saizi karibia mengine yameanza kupotea kwa sababu hizi
1. kuna makabila ukishaita jina la ukoo wale wachawi walioko kwenye ukoo wenu inakuwa umewapa njia ya kuloga kwa urahisi sababu ya jina la ukoo analijua zaidi sasa kupunguza huu mlolongo watu wakaamua kuhamia kuita majina ya dini
Ngugi Wathiong'o, hakujua kiingereza ? .Wazungu na Waarabu wametuweza.NI kweli mkuu nachotaka kumaanisha ni kwamba sisi hata hii lugha ya kiswahili ni kama tumeikubali shingo upande
Soma comment namba #136. Nai-attach hapaNgugi Wathiong'o, hakujua kiingereza ? .Wazungu na Waarabu wametuweza.
Hivi kweli mleta mada hata wewe leo upate mtoto umuite jina kama kimweri, nzagamba,mateso,kinjekitile..asee kwangu Big no
Tatizo limekwenda hadi kwenye majina ya ukoo ...unakuta mtz anajina la ukoo greyson au livingstone... majina ya ukoo ya heshimike ...kanuni inatakiwa kila unapo taja jina la pili basi liwe ni jina la ukoo halisi siyo majina ya kiarabu au kizunguUrithi wa kwanza uliobora kwa mtoto ni jina...
Wewe mwite Mashaka, Masumbuko, Gwandumi, Mayala au Anyosise, Kamala au Rugaba au Manka hakuna Shida.
Mwingine atamwita Happy au Joy,Marry, Joshua sawa tu...
Ila kumbuka Urithi ulio bora wa kwanza ni jina.
Una bahati nzuri sana mkuu.Hata ungejiita jina la weupe mweusi huna maana,, mwisho wa mambo yote rangi yako nzuri sana nyeusi,, ndiyo utambulisho wa hadhi, heshima, thamani na utu wako. Ninaringa kuwa mweusi, ninajivunia kuwa na majina yote matano ya kibantu.
Huo ulimbukeni na ujinga wa kukumbatia majina ya wakolomi uko tu huku kwetu. Katika nchi ya Afrika ya kusin na sehenu kubwa nchi ya Botswana na Eswatini watu wanajulikana na kuandikishwa kwa majina yao ya asili zao,Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Mtumwa huwaza kama mtawala wake anavyotaka. Walichoweza watawala wa kizungu, kiarabu na dini zao ni kutubadili kabisa mtazamo. Nikosoma Quran na Biblia sioni amrisho la kututaka tutumie majina yao. Huu ni ujanja wa kututawala kifikra.Hivi kweli mleta mada hata wewe leo upate mtoto umuite jina kama kimweri, nzagamba,mateso,kinjekitile..asee kwangu Big no