Majina ya kike romantic

Ooh. Duuh! Ye amejua ni ukweli nini?

Mie namshukuru Allah niko salama kabisa.
Utaweza kumzuia mtu kuongea au hata kuandika lakini huwezi mzuia mtu asiwaze au kufikiri Hajar

Ni mawazo yake tuyaheshimu.

Sema Idd ukaila kimyakimya aisee, sawa bana🙂🙁
 
Hahahaaa, ukinitusi wewe unajua itakua furaha yangu kubwa sana Hajar

Marehemu babu yangu aliwahi nambia mwanamke akutukanae ujue kakujaza moyoni😀😀😀, Au babu alinidanganyaa???
 
Naomba muhtasari wa hili jambo haraka sana
Hajar kimenuka usogee huku popote ulipo, Babu Asprin kaibuka anataka kujua kinachoendelea

Yaani kisa ni neno "kukazia". Mju wako Hajar alitoa point moja kali sana mahali mimi nikamwambia nipo nyuma yake nakazia kwa nguvu sana. Mjuu wako mmoja akasema hilo neno lina ukakasi, mimi na Hajar tukampinga.

Nikamwambia amuulize mjomba wangu Asprin na Mkaza Mjomba Sky kama kuna shida yoyote kwenye "Kukazia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…