Majina ya kike romantic

Beatrice daah nkisiaga hili jina akili huniruka labdaaa kwa sababu alikuwa demu niliempenda afu akaniacha sababu sikuwa na kipato! Lkn kupitia yeye nimewatafuna kina Beatrice wengi sana kwa haraka idadi yao inafika 38

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
5 hilo nimekumbk mbali mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asatwikepansebhopomyendailiminyari.......inshort call "Asa" so romantic from bantu namesπŸƒπŸƒ
 
Scarlett, Charlotte, Latasha, Lasasha, Lakisha,Latoya...
 
Kuna dada nilisoma naye anaitwa "Turusubya Turumanya"

Nilikuwa naita majina ikifika jina lake namwangalia halafu na- tick, basi anamind sana.
Thas romantic kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…