Majina ya kike romantic

Majina ya kike romantic

Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa,

1: Patricious
2: Rose
3: Hammisa
4: Loveness
5: Latifa
6: Cathelin
7: Elisy
unaweza kuongezea zaidi,
 
Hammisa?
Khamisa au Hamisa

Catheline?

Catherine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa,

1: Patricious
2: Rose
3: Hammisa
4: Loveness
5: Latifa
6: Cathelin
7: Elisy
unaweza kuongezea zaidi,
Acha hizo. Hayo ni kwa vionjo vyako sababu unamtamani HAMISA MOBETO. Kwani kama langu lina hitilafu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna majina nikiyasikia huwa mizuka ya kutongoza huwa inapanda.

1. Jolie
2.Patricia
3.Rebecca
4. Alice
5.Scarlett
6.Charlotte
7.Rubbie
8.Jasmine
9.Clara
10.Naomy
 
Back
Top Bottom