Majina ya kike romantic

Majina ya kike romantic

Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa,

1: Patricious
2: Rose
3: Hammisa
4: Loveness
5: Latifa
6: Catherine
7: Elisy
unaweza kuongezea zaidi,
 
Chausiku
Mwanjaa
Mwantumu
Mwapwani
Mnyamvua
Nk
 
pitia lyrics za wimbo wa DMX what a bit**h want from a nigga mule kataja majina kama yote..

ila naskia majina yaliyopo mule huwa ni vicheche balaa 😂😂
 
Back
Top Bottom