Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
- Thread starter
- #21
Mzee Kaselabantu na mzee Richard yupo anasound mamlaka?Mtu anaitwa eti kasela-bantu ...ulugha lugha mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Kaselabantu na mzee Richard yupo anasound mamlaka?Mtu anaitwa eti kasela-bantu ...ulugha lugha mtupu
Ukisikia jina Mwaigomole huoni kama inasound kichifu?Nashangaa! Eti ki-mamlaka!
Chuki zako ni warombo mbona zinafahamika kitambo tu 🤣🤣🤣🤣haya njoo mashati hapa upate venye roho inapendaShirima,, mlevi flani hivi, kama komba
Shirima tulia, mm sina chuki na wewe 🤣🤣🤣🤣Chuki zako ni warombo mbona zinafahamika kitambo tu 🤣🤣🤣🤣haya njoo mashati hapa upate venye roho inapenda
Wee ishia hapo hapo....mi Sio haya makabila yenu ya Tz, mi ni mtanzania mwenye asili yaShirima tulia, mm sina chuki na wewe 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 sawa kitomari, byeWee ishia hapo hapo....mi Sio haya makabila yenu ya Tz, mi ni mtanzania mwenye asili ya