barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
Kambarage kwani haina M?Akhsante kwa Kunielimisha Mkuu kwani pamoja na ' Ujanja ' wangu wote hadi huu Umri wangu unaokimbizana na aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mzee Mugabe nilikuwa sijajua wala kufahamu kwamba kumbe jina la Mwalimu ambalo alikuwa akiitwa Nyerere na lenyewe pia alipewa na Mzee ( Baba yake ) Kambarage Burito Nyerere na Mama yake Bibi Mgaya.
Mbona jina lako umeanza na herufi ndogo?Mkuu si sahihi kuandika jina la mtu kwa kuanza na herufi ndogo,kanuni za uandishi zinakataa.
Haya bwana fanya kazi.Teh teh teh mkuu nipo kazini hapa mbona?
Akh ww Endelea kujiuliza tu. Wote wakatoliki haoDuh,kwani yule wa pili kabadili dini? (nimejiuliza mwenyewe mkuu)
KaMbarageKwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Hawachelewi kukwambia M' kwenye jina la kati kambarageKwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
Mbona hata herufi "A" ipo kwa maraisi wote
Ni kweli mkuu,ila mimi niliona ama kulenga herufi MMbona hata herufi "I" iko kila rais aliyepita tazama
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Chief vp? Jamaa anamaanisha m inayoanzia mwanzoni mwa jina[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hiyo hapo
Hebu niandikie kwa kiingereza hii sentensiHakuna pahala nafikiri nimefeli,hoja yangu ni kwamba kuna herufi M katika hayo majina pasipokujali imetokana na nomino ama heshima.
Chief vp! Mbona walishaniambiaga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hawachelewi kukwambia M' kwenye jina la kati kambarage