Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Naitafuta bado "M" ktk Edward Ngoyai Lowassa ma Tundu Antipas Lissu, bado siioni. Ninishara jawa jamaa hawafai kabisa hata kiwa viongozi wa familia.
 
Wakuu habari zenu,

Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?

Akhsante kwa Kunielimisha Mkuu kwani pamoja na ' Ujanja ' wangu wote hadi huu Umri wangu unaokimbizana na aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mzee Mugabe nilikuwa sijajua wala kufahamu kwamba kumbe jina la Mwalimu ambalo alikuwa akiitwa Nyerere na lenyewe pia alipewa na Mzee ( Baba yake ) Kambarage Burito Nyerere na Mama yake Bibi Mgaya.
 
Kambarage kwani haina M?
 
Yaani mwalimu umeifanya ni jina la Nyerere? Kama ni hivyo wote walifundisha katika maisha yao kasoro Mkapa.
Hoja yangu ni kwamba hata kwenye hilo jina la heshima kuna herufi M
 
Kwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
KaMbarage
 
Mwalimu na alhaji c majina yao halis, ni wasifu uliokuja baadae
 
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Mbona hata herufi "I" iko kila rais aliyepita tazama
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
 
Kwenye jina la Nyerere hakuna M, hiyo mwalimu ni kwasababu ni mwalimu kitaaluma na sio jina lake
Jina lake halisi ni:- Julius Kambarage Nyerere. Nioneshe hiyo M hapo[emoji115] [emoji115]
Hawachelewi kukwambia M' kwenye jina la kati kambarage
 
Hiyo hapo
Chief vp? Jamaa anamaanisha m inayoanzia mwanzoni mwa jina[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hakuna pahala nafikiri nimefeli,hoja yangu ni kwamba kuna herufi M katika hayo majina pasipokujali imetokana na nomino ama heshima.
Hebu niandikie kwa kiingereza hii sentensi
"Rais wa kwanza wa Tanzania, mwalimu Julius Kambarage Nyerere"
Thwn nambie kama hiyo mwalimu ni oficial au sisi waswahili ndio tunaitumia tu!
 
Hawachelewi kukwambia M' kwenye jina la kati kambarage
Chief vp! Mbona walishaniambiaga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom