Chief vp una watoto wangapi?kweli kwenye KaMbarage huoni M hapo ilhali nimeiandika kwa herufi kubwa?? Kusoma hujui, hata Picha huoni?
[emoji116] [emoji116] [emoji116] Umemuelewa mtoa mada??kweli kwenye KaMbarage huoni M hapo ilhali nimeiandika kwa herufi kubwa?? Kusoma hujui, hata Picha huoni?
Mbali na hilo mimi nilikuwa nalenga herufi za mwanzoni mkuu,japo jina ni la heshima bado herufi M iko pale.
Hiv kwel na wewe unajiita great thinker?!????Wakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
Mwalimu ni jina, sema sio miongoni mwa majina ya Nyerere[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Haina mashiko.Mwalimu siyo jina
Bora ya huyu aliyekosea tahajia kuliko mweka mada ambaye hana ufaham wa majina halisi ya mmoja wa waasisi wa taifa hili.Kambarange>>>> Kambarage
baada ya Magufuli namwona Tundu Antipas Mughway Lissu anafuataWakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli
Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
washirikina bhanafreemasons hao
kweli mkuuBora ya huyu aliyekosea tahajia kuliko mweka mada ambaye hana ufaham wa majina halisi ya mmoja wa waasisi wa taifa hili.
Unajua huwa nataman kujua elim ya mtu wa aina ya hao viumbe mkuuMatusi ya nini sasa mkuu?
Unajidhalilisha ujue....