Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

Majina ya marais wote wa Tanzania yana herufi M

kweli kwenye KaMbarage huoni M hapo ilhali nimeiandika kwa herufi kubwa?? Kusoma hujui, hata Picha huoni?
Chief vp una watoto wangapi?
Muelewe mtoa mada alivyokusudia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wakuu habari zenu,

Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
Hiv kwel na wewe unajiita great thinker?!????
MWALIMU n jina la Julius Kambarage Nyerere kwel??????
 
Haina mashiko.Mwalimu siyo jina
Mwalimu ni jina, sema sio miongoni mwa majina ya Nyerere[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wakuu habari zenu,

Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Alhaji Ally Hassan Mwinyi
Benjamin William Mkapa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr.John Pombe Joseph Magufuli

Je,kuna makusudi yeyote katika hiyo herufi au imekuwa ikitokea tu accidentally?
baada ya Magufuli namwona Tundu Antipas Mughway Lissu anafuata
 
Hivi vichwa ndivyo vimetoka chuo kikuu eti! Hii elimu ya Tanzania ni majanga! Nyerere jina lake ni "Mwalimu?" pumbavu kabisa hili!!
Matusi ya nini sasa mkuu?
Unajidhalilisha ujue....
 
Mahaba Ngoyai Lowassa for next Prezidaa[emoji41]
 
Hii inanikumbusha mwaka fulan nafkir 1995 Shehe Yahaya eti alijifanya kutabiri kuwa rais atakayeshinda herufi yake ianzia na M hahahaaaa.....

Wakati ukiangalia Mrema na Mkapa ndo waliokuwa na nguvu ya kisiasa.
 
Naziona J tatu kwa Watu watatu Julius, Jakaya na John. Hizo Ndiyo nyingi sio M ambazo tena Siyo first name
 
lakin atakaye fata hatokuwa na herufi M....."Tundu Lissu".....ts amayzing
 
hivi neno mwl na jenyewe ni jina la kuzaliwa la nyerere?!!
 
Ni "utoto" au kutosoma historia ya nchi?
 
Nyuzi zingine unasoma heading halafu unajiuliza hivi baada ya hii itakayofuata itakuwaje kama si ukuti ukuti wa mnazi wa mnazi
 
Back
Top Bottom