VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Watu wana maneno sana. Wanazidi kumwaga majina mbalimbali kwa ndege zetu. Mengi ni ya utaniutani. Si unajua tena nchi yetu inavyolindwa na utani tulionao? Wanaziita ndege zetu hizo mpya majina yafuatayo:
1. 'Vindege'
2. 'Dear Bomba'
3. 'Mabangaboi'
4. 'Mapanga Shaa'
5. 'Bajaji za juu' nk
Watanzania wana maneno sana. Yote kwa yote, hongera kwa Serikali kwakuwa mmepanga na kufanya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)