'Majina' ya ndege zetu mpya za ATCL

'Majina' ya ndege zetu mpya za ATCL

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Watu wana maneno sana. Wanazidi kumwaga majina mbalimbali kwa ndege zetu. Mengi ni ya utaniutani. Si unajua tena nchi yetu inavyolindwa na utani tulionao? Wanaziita ndege zetu hizo mpya majina yafuatayo:

1. 'Vindege'
2. 'Dear Bomba'
3. 'Mabangaboi'
4. 'Mapanga Shaa'
5. 'Bajaji za juu' nk

Watanzania wana maneno sana. Yote kwa yote, hongera kwa Serikali kwakuwa mmepanga na kufanya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Waite watakavyoita lakini ndio zishanunuliwa, waliokalia kukosoa wakosoe tu lakini nasema hivi GO GOO GOOOO MAGUFULI GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO usiangalie nyuma
 
Mzee tupatupa! sasa naelewa kwanini mkuu wetu anatamani muda wa uongozi upunguzwe maana hamna wema
 
At the end of the day, ndege zipo na naamini zitafanya vizuri. Kukiwa na juhudi za dhati hata Airbus A380 na Boeing B747-8 zitakuwepo tu.
 
Mapanga Shaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wana maneno sana. Wanazidi kumwaga majina mbalimbali kwa ndege zetu. Mengi ni ya utaniutani. Si unajua tena nchi yetu inavyolindwa na utani tulionao? Wanaziita ndege zetu hizo mpya majina yafuatayo:

1. 'Vindege'
2. 'Dear Bomba'
3. 'Mabangaboi'
4. 'Mapanga Shaa'
5. 'Bajaji za juu' nk

Watanzania wana maneno sana. Yote kwa yote, hongera kwa Serikali kwakuwa mmepanga na kufanya!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Watu wenyewe wanazibiga vita utafikiri hata ndege hawajawahi kupanda, Hizi ndege msaada mkubwa zinauwezo wa kutua viwanja vyote TZ.
 
Cha ajabu hao wanao beza hawajawahi hata kupanda ndege..
 
Nahao wote wanao toa majina hayo
90% ni Wavuta bangi na Wanywa Viroba
Kwahio wala wasikusumbue.
 
Back
Top Bottom