VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
MAGULI ndio nini?Waite watakavyoita lakini ndio zishanunuliwa, waliokalia kukosoa wakosoe tu lakini nasema hivi GO GOO GOOOO MAGULI GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO usiangalie nyuma
Nifah kumbe na wewe unapenda kutukana pasipo sababu za msingi?!MAGULI ndio nini?
Subiri ukamatwe na kujikomba kwako.
Ni wapi nimetukana mkuu?[emoji15]Nifah kumbe na wewe unapenda kutukana pasipo sababu za msingi?!
Uwe na siku njemaNi wapi nimetukana mkuu?[emoji15]
Mapanga maguNi wapi nimetukana mkuu?[emoji15]
Watu wenyewe wanazibiga vita utafikiri hata ndege hawajawahi kupanda, Hizi ndege msaada mkubwa zinauwezo wa kutua viwanja vyote TZ.Watu wana maneno sana. Wanazidi kumwaga majina mbalimbali kwa ndege zetu. Mengi ni ya utaniutani. Si unajua tena nchi yetu inavyolindwa na utani tulionao? Wanaziita ndege zetu hizo mpya majina yafuatayo:
1. 'Vindege'
2. 'Dear Bomba'
3. 'Mabangaboi'
4. 'Mapanga Shaa'
5. 'Bajaji za juu' nk
Watanzania wana maneno sana. Yote kwa yote, hongera kwa Serikali kwakuwa mmepanga na kufanya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)