Na hawategemei hata kuigusa maishani mwaoCha ajabu hao wanao beza hawajawahi hata kupanda ndege..
Na hawategemei hata kuigusa maishani mwao
nimewaona pia wako kwenye Dear BombaMalaika waleeee wanashukia Jf..
Kwanini juhudi na rasilimali zisihamie kwenye madawa na madawati? You people fail to amaze me!!At the end of the day, ndege zipo na naamini zitafanya vizuri. Kukiwa na juhudi za dhati hata Airbus A380 na Boeing B747-8 zitakuwepo tu.
Ajabu nchi hii wanywa viroba ndo wako smart. Ni mjinga tu atanunua gari ilhali wanae hawana uhakika wa matibabu wala ada.Nahao wote wanao toa majina hayo
90% ni Wavuta bangi na Wanywa Viroba
Kwahio wala wasikusumbue.
Jamani tumpe moyo Rais wetu
Sifa gani kununua ndege huku wanaombaomba madawati?Mimi natamani Ndege zipewe majina haya kwa ajili ya sifa na kuitangaza Tanzania
1. KARAFUU
2 Tanzanite
Nahao wote wanao toa majina hayo
90% ni Wavuta bangi na Wanywa Viroba
Kwahio wala wasikusumbue.
More likes we mtujuhudi pasina maarifa
Kwa kuwashauri mnunue chanjo badala ya Dear Bomba?Upinzani wa Tz ni moja pinzani za kipumbav dunian