Majina ya Taasisi na Mamlaka za Serikali kwanini yapo kwa lugha ya Kiingereza?

Majina ya Taasisi na Mamlaka za Serikali kwanini yapo kwa lugha ya Kiingereza?

Mpigamaji

Senior Member
Joined
Oct 24, 2018
Posts
152
Reaction score
244
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za Serikali zina majina ya Kiingereza?.

Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakuwa yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani documens zote pia zitakuwa zinaonesha majina hayo ya kiingereza.

Mwenye kujua sababu labda nini ulazima wakufanya zijulikane kwa kiingereza?

Mfano: TRA, TRC, TTCL, TARURA, TANROAD, SUMATRA, NIDA, RITA, DAWASCO, TANESCO, COSTECH, TCRA, etc.
 
Kuna kitu nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za serikali zina majina ya Kiingereza?. Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakua yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani documens zote pia zitakua zinaonesha majina hayo ya kiingereza. Mwenye kujua sababu labda nini ulazima wakufanya zijulikane kwa kiingereza?

Mfano: TRA, TRC, TTCL, TARURA, TANROAD, SUMATRA, NIDA, RITA, DAWASCO, TANESCO, COSTECH, TCRA, etc.
Mbona unazidi kutuchanganya? Kati ya hao RITA TCRA NIDA na TRA ni yupi atakayezima hizi simu muda wa kusajili ukimalizika?
 
Peleka mwanao shule nzuri(English Medium) hatokuja kuuliza swali la kindezi kama hili
 
Sheria iliyounda mashirika na taasisi hizo ipo kwenye lugha ya Kiingereza, wala haina shida mkuu
 
Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za Serikali zina majina ya Kiingereza?.

Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakuwa yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani documens zote pia zitakuwa zinaonesha majina hayo ya kiingereza.

Mwenye kujua sababu labda nini ulazima wakufanya zijulikane kwa kiingereza?

Mfano: TRA, TRC, TTCL, TARURA, TANROAD, SUMATRA, NIDA, RITA, DAWASCO, TANESCO, COSTECH, TCRA, etc.
Huelewi kuwa Kiingereza ni lugha rasmi Tanzania?
 
Ni Tanzania peke, lugha rasmi ni kiswahili ila kuanzia sekondari masomo ni ya kiingereza (ajabu mpaka kiingereza kinafundishwa kwa kiswahili)
Lugha rasmi ni kiswahili ila hata siku moja hutasikia hakimu akiingia mahakamani yule jamaa wa cooooooooooooooooourt akitamka hilo neno kwa kiswahili
Kiswahili ni lugha rasmi ila katiba imeandikwa kwa kiingereza. Tunachanganyana tu.
 
Ikiwa herufi zenyewe tuzitumiazo ni za kiingereza sembuse majina ya ofisi za serikali
 
Back
Top Bottom