Mbona unazidi kutuchanganya? Kati ya hao RITA TCRA NIDA na TRA ni yupi atakayezima hizi simu muda wa kusajili ukimalizika?Kuna kitu nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za serikali zina majina ya Kiingereza?. Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakua yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani documens zote pia zitakua zinaonesha majina hayo ya kiingereza. Mwenye kujua sababu labda nini ulazima wakufanya zijulikane kwa kiingereza?
Mfano: TRA, TRC, TTCL, TARURA, TANROAD, SUMATRA, NIDA, RITA, DAWASCO, TANESCO, COSTECH, TCRA, etc.
Ndugu hujaona/hujasikia asilimia kubwa ya watu wanaosema kuwa NIDA watazima simu ifikapo tarehe fulani?Kwani ulishawahi kukosa huduma kisa majina ni ya kizungu??
Kwani ulishawahi kukosa huduma kisa majina ni ya kizungu??
Ha ha haShirika la Ugavi wa Umeme Tanzania.
(SUUTA)[emoji23] [emoji23]
Dah acha tu libaki kwa lugha ya Malkia.
Nilikuwa nawaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi kuwa Kiingereza ni lugha rasmi Tanzania?Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, ni kwanini Majina ya Taasisi na Mamlaka nyingi za Serikali zina majina ya Kiingereza?.
Yani officially zinatambulika kwa majina hayo, nimeona majina ya kiswahili yanakuwa yanatumika kama kufafanua tu au kuweka itambulike kirahisi, na nadhani documens zote pia zitakuwa zinaonesha majina hayo ya kiingereza.
Mwenye kujua sababu labda nini ulazima wakufanya zijulikane kwa kiingereza?
Mfano: TRA, TRC, TTCL, TARURA, TANROAD, SUMATRA, NIDA, RITA, DAWASCO, TANESCO, COSTECH, TCRA, etc.