Mr.samba de man
Member
- Sep 4, 2013
- 55
- 7
Jaman wadau msaada ukiangalia option ya tcu kwenye selection ukiweka index no na jina unaon umechaguliwa wap! Lakn haya majina yametumwa vyuon au? Maana vyuo vingi yapo ya 1st na 2nd basi kwenye selection!! Please ur help.