Majina ya TCU 3rd round vp?

Majina ya TCU 3rd round vp?

Joined
Sep 4, 2013
Posts
55
Reaction score
7
Jaman wadau msaada ukiangalia option ya tcu kwenye selection ukiweka index no na jina unaon umechaguliwa wap! Lakn haya majina yametumwa vyuon au? Maana vyuo vingi yapo ya 1st na 2nd basi kwenye selection!! Please ur help.
 
ndugu majina YAMETUMWA
VVUONI.WAPIGIE SIMU
WATAKUAMBIA KAMA UPO.MI
MWENYEWE NIMEMWANGALIZIA
RAFK ANGU.KWA KUPIGA SIMU
 
ndugu majina YAMETUMWA
VVUONI.WAPIGIE SIMU
WATAKUAMBIA KAMA UPO.MI
MWENYEWE NIMEMWANGALIZIA
RAFK ANGU.KWA KUPIGA SIMU

nashukuru kaka umenifungua baada kuona nimepiga cm na wamenijulisha mpaka join nimetumiwa.BIG UP! Danp
 
tupeni habari za kweri jamani tafadhari mm sielewi mpaka saiv
 
Back
Top Bottom