Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

Status
Not open for further replies.
nyie ambao hamjapwekewa loan,kama mna vigezo mtarekebishiwa mcwe na hofu.loans board inatoa majina kwa awamu...
 
dah hawa jamaa wa bodi cjawalewa kwakweli...nina mdogo wangu wa kike alifaulu kwa daraja la pili..wazazi wote wamefariki mwaka jana, kwenye maombi ya mkopo tumeambatanisha vyeti vya vifo cha ajabu hawajampa mkopo eti sababu ''no priority". Nimekosa raha kabisa.
 
nyie ambao hamjapwekewa loan,kama mna vigezo mtarekebishiwa mcwe na hofu.loans board inatoa majina kwa awamu...

wapi wameandika ndugu yangu maana hapa sina aman kbs
 
kama una Gmail ukisha-download hayo ma file jitumie email ukiwa ume attach hayo ma-file then kayasome kupitia Gmail
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
aisee ka unaweza naomba n2mie. rich1emanuelly@gmail.com
 
aaaagh tcu ni michosho sana tu, hata web yao wanashindwa ku maintain
 
kama kuna mtu hajaona jina lake aseme nimwangalizie fasta......
 
Kama mwaka jana yalitoka mwez september,hawa wa mwaka huu wana kihere here cha nin?
 
Aisee, nimesikitika sana, nimehangaika kutafuta majina ya wadogo zangu hora, kumbe 2011? Aliyekumbushia uzi huu sijui tumpe adhabu gani, lakini pia wasomaji, tujitahidi kuangalia uzi ni wa lini, umeanzishwa lini na nani, itatusaidia kuepuka matatizo kama haya.

Duh, kidogo nimpe pole mdogo wangu kwa kukosa kuchaguliwa. Ujinga mtupu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…