Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

Status
Not open for further replies.
thanks and God bless u


Mkuu hivi unamaizi kuwa ulichokifanya ni upuuzi?

Kuupdate uzi wa mwaka juzi for reason kipindi ambacho wadogo zetu wapo katika tension ya selection za tcu?

Hebu fikiria tena sababu yako
 
Bila shaka huyu jamaa aliye update hii thread ana utindio wa ubongo sio bure
 
maana..duu..nilizama kwenye herufi yangu..nikamkuta jamaa ashamaliza chuo..duu..nikagutuka..
 
dah hawa jamaa wa bodi cjawalewa kwakweli...nina mdogo wangu wa kike alifaulu kwa daraja la pili..wazazi wote wamefariki mwaka jana, kwenye maombi ya mkopo tumeambatanisha vyeti vya vifo cha ajabu hawajampa mkopo eti sababu ''no priority". Nimekosa raha kabisa.

Pole sana, labda wameona amesomea shule za private
 
mtawaua ndugu zetu jamaa.... wanalia huku wengne wamepewa second round
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom