mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Mbona yanaonyesha ni ya 2011/12
Ungeangalia tarehe thread hii iliporushwa ungejua y.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yanaonyesha ni ya 2011/12
Aisee, nimesikitika sana, nimehangaika kutafuta majina ya wadogo zangu hora, kumbe 2011? Aliyekumbushia uzi huu sijui tumpe adhabu gani, lakini pia wasomaji, tujitahidi kuangalia uzi ni wa lini, umeanzishwa lini na nani, itatusaidia kuepuka matatizo kama haya.
Duh, kidogo nimpe pole mdogo wangu kwa kukosa kuchaguliwa. Ujinga mtupu
Kama mwaka jana yalitoka mwez september,hawa wa mwaka huu wana kihere here cha nin?
Nenda hapa utapata majina yote
TCU yatoa Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu 2011/2012 - Wavuti
MAKULILO
mkuu nicheck:Yusuph n Mbilinyi.
we jamaa vp mbona anaweka link ya mwaka jana ni 2012/2013 co 2011/2012.....jipangeeeeeNenda hapa utapata majina yote
TCU yatoa Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu 2011/2012 - Wavuti
MAKULILO
<br />
<br />
WAMEFULAI sana, hasa wakikumbuka pilau la jana ambalo ukoko wake uliobako kwenye sufuria leo unanywewa chai.
guys em tutoane presha selection zmetoka au???