Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

Status
Not open for further replies.

pole xana mkubwa,2najua ni presha n umaskn 2 huu ndo unatupa iman kwamba chuo kkuu ndo mpango, bt out there,there're a lot of gud thngs than ths damn creamng edn.......pole xana
 
jamani mnaotoa majina toka tcu msiwadanganye watu maana huko mtaani watu wanalia hawajaona majina yao wakati huku mnaweka majina ya waliojiunga chuo mwaka jana yaani 2011-2012.si vizuri kwani watu wanasubiria 2012-2013 tunaomba msituchanganye wakubwa
 
jaman m n mgeni humu ndani najarbu kuangalia majina hayo ila c yaon naomben msaada naangaliaje
 
jamaa yuko sahh! Ukchek kwenye web ya tcu, utakuta new ya selected applicant 2012/2013
 
Wa2 wengine ku2zingua tu hapa...kuwa makini kabla ya kufanya ki2 .ndo kesho mtatuambia rais wa tanzania idi amin
 
Mbona tuna badili maana ya jamii foramu hv mtu unaweka taarifa ya uongo how do you fill? Kwamba ili uone thread yako imesomwa na wengi? Au vp sifa za kijinger? Tubadilike bhana?
 
Aaaargh.. Kumbe hii thread ya long time???? Dah imenistua sana mpk nilitaka kuvunja mguu kwa kutafuta network..!! Dah..:: Maafande tujuzane kinachoendelea tusilete mbwembwe wengine mioyo midogo na tuko village usafir shida wakuu
 
guys em tutoane presha selection zmetoka au???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…