karatu one
Member
- Jul 4, 2013
- 60
- 6
guys em tutoane presha selection zmetoka au???
Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
thanks and God bless u
thanks and God bless u
Mkuu utawaua wadogo zetu kwa pressure....achen Ku update Uzi
dah hawa jamaa wa bodi cjawalewa kwakweli...nina mdogo wangu wa kike alifaulu kwa daraja la pili..wazazi wote wamefariki mwaka jana, kwenye maombi ya mkopo tumeambatanisha vyeti vya vifo cha ajabu hawajampa mkopo eti sababu ''no priority". Nimekosa raha kabisa.