Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti vyao katika Hafla ya Ballon d’Or usiku huu

Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti vyao katika Hafla ya Ballon d’Or usiku huu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Taarifa mpya kutoka ukumbini Théâtre du Châtelet ni kwamba majina ya nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr na Jude Bellingham yameondolewa kwenye viti vyao kwa hafla ya utoaji wa tuzo za Ballon d’Or itakayofanyika usiku wa leo, Paris, Ufaransa.
IMG_0426.jpeg

Hali hii imeleta mshangao mkubwa, na hakuna anayejua kinachoendelea kwa sasa.

Soma, Pia:

Vinicius Jr hatasafiri kwenda Paris kwa vile anajua "Hatashinda" Ballon d'Or mwaka huu

Rodri atua na magongo ndani ya Paris kupokea Ballon d'Or aliyoporwa Vinicius Jr
 
mie naenda na rodri....hamna mizengwe, matarajio mara nyingi huleta huzuni. Rodri kwa misimu miwili kakiwasha sana. Sema tofauti ni mwamba Rodri ni kiungo na Vini ni mshambuliaji.
Mara nyingi washambuliaji ndio wanaibuka juu kupewa tuzo haswa kwa sababu ya kufunga.
Mabeki na viungo ni wachache sana waliopata hizi tuzo ukilinganisha na washambuliaji.
Rudisheni kumbukumbu nyuma miezi michache iliyopita kwenye euro2024 kule ujerumani mtakumbuka kazi aliyopiga Rodri na Spain National team. Anastahili mazee.
 
😅😅 wanao sema vin ana stahili sijui wana tumia vigezo gani maana wakitumia vigezo ivyo nafasi inaenda kwa martinez na wasipo tumia inaenda kwa rodri na carvajal ..
 
Back
Top Bottom