Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti vyao katika Hafla ya Ballon d’Or usiku huu

Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti vyao katika Hafla ya Ballon d’Or usiku huu

😅😅 wanao sema vin ana stahili sijui wana tumia vigezo gani maana wakitumia vigezo ivyo nafasi inaenda kwa martinez na wasipo tumia inaenda kwa rodri na carvajal ..

rodri ndie ambae hana kigezo
 
Kwanini watu weusi tunapenda sana kucheza Racism Card? Alidhulumiwa Lewandowski hatukusikia vitu kama hivi.

Kwanini tusiamini ni siasa tu za mpira zinafanyika?

mkuu watu weusi wana matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom