Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Sasa kuna madogoli ............ yaani hapa madogoli hapa KINDI........... ukienda kile kilabu cha Manzese na Lizaboni (wenyewe tulikuwa tunaita melini) we acha kabisa. Na ukienda kule msamala karibu na yale machinjio............. yaani hapa KINDI, ULANZI na upande wa pili kuna UBENDE, MAVAMBANGOMA, MBULIKA WEEEEEEEEE............Mkuu kunyumba kuzuri sana, wakati huo no tv, jioni tunashinda kwenye ngoma, mitaa ya mateka, makambi, kimolo, matogoro na kule luhila, mkuu asikwambie mtu kuna ngoma hiyo inaitwa kambindi, wacha bana, ikifika kuanzia mwezi wa sita komunio ya kwanza na vipaimara sherehe kila nyumba hahaa acha mkuu kitoweo mkuu wa meza.