Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Ifuatayo ni orodha ya majina ya vituo vya dala dala yaliyopo nchi nzima.

1. Shule.

2. kanisani.

3. darajani.

4 gereji.

5. ccm.

6. kona.

7. njiapanda.

Ongezea....
Lumumba buku 7

Sent from my Android phone
 
Mbuyuni
Kinazini
Mferejini
Kwa Mangi
Kwa Mfipa
 
Back
Top Bottom