mbona vituo vya mtaani kwetu hamtaji humu?
- Kwa Nyoka
- Kwa Ally Limboa
- Kwa Abiolla
- Magenge 20
- Stand ya Shamba
- Kwa Kibudi
- Madafu
- Kwa mama Aambiliki
- Davis Corner(kituo pekee mtaani kwe2 chenye jina la kizungu)
- Tambukareli
- Kibondemaji
- Majimatitu
- Mwanamtoti
- Kizito Huonjwa