Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Kuna kituo huko mkuranga kinaitwa chupi ya mwali makonda. Utasikia wale wa chupi la mwali mpo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wakati Ule Nauli Shilingi 100 mateja utawasikia MUHIMBILI NAU-MIAAAAAA,MUHIMBILI NAU-MIAAAAA
 
Kuna kituo huko mkuranga kinaitwa chupi ya mwali makonda. Utasikia wale wa chupi la mwali mpo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

kinachofuata baada ya hicho kinaitwa senge...konda utaskia wa ***** mpo?...
 
Huku Pwani kuna kijiji kinaitwa Toangoma wale makonda wanoko mnapokaribia hapo wanatangazia nakuita wale wanaotongoma mpo? Utasikia minjemba ikiitika wakisema ee tupo!
 
sayansi na techologia kijitonyama zamani palikua panaitwa maji machafu...basi mkifika pale utasikia maji machafu mpoo...watu wanajibu tupooo
 
Kipo kituo kinaitwa Nembe inabidi konda kwa heshima aseme"matusi ya mwanza"
 
Kituo kinaitwa "wavutagozo" wale wavutagozo mpo? Tupo.
 
Kigogo Luhanga
First inn
Kigogo Mwisho
Kigogo Post
Landa Baa
Cha Wote
Saluni
Njia panda
Msimbazi Center
Boma
Karume
Kongo
M/Mmoja
Baridi
Akiba
Posta Mpya
Ardhi
Kivukoni
Posta ya Zamani
Steshen
Rems
 
1.Tazara
2.Vingunguti
3.Gv/chadema
4.Bombom
5.Kijiwe Samli
6.Jet Lumo
7.Kwa Gude
8.Sheli
9.Relini
10.Lumo
11.Kwa Limboa
12.Mwisho wa Lami
 
Rangi3, Zakhem, kizuiani, kipati, sabasaba{kwa mpili}, misheni{ktm},msikitini,mtoni mtongani,mtoni kwa azizi alli,saba saba,uhasibu,taifa,chuo,kona ya taifa,njia panda keko,veta,karume,boma,msimbazi center,kona ya kigogo,mikumi,magomeni hosp,moroco hotel,mkwajuni,studio,manyanya,kinondoni B,Moroco,drive,kisiwani,chama,kwa mwalimu....endelea hadi kawe.
 
Rangi3, Zakhem, kizuiani, kipati, sabasaba{kwa mpili}, misheni{ktm},msikitini,mtoni mtongani, mtoni kwa azizialli, saba saba, uhasibu, taifa,chuo{duce}, kona ya taifa, njia panda, keko, veta, karume, boma shule, msimbazi center, kona ya kigogo, mikumi, magomeni hosp, moroco hotel,mkwajuni,studio,manyanya, kinondoni B, kinondoni morroco, drive inn, kisiwani, chama, kwa mwalimu....endelea hadi kawe.
 
Mbagala rangi 3, mbagala Zakhem, mbagala kizuiani, kipati, mbagala sabasaba{kwa mpili}, mbagala misheni{ktm},msikitini, mtoni mtongani, mtoni kwa azizi alli,saba saba,uhasibu,taifa,chuo,kona ya taifa,njia panda keko,veta,karume,boma,msimbazi center,kona ya kigogo,mikumi,magomeni hosp,moroco hotel,mkwajuni,studio,manyanya,kinondoni B,Moroco,drive,kisiwani,chama,kwa mwalimu....endelea hadi kawe.
 
Back
Top Bottom