Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni swaga za zamani mno. Ubunifu tu. Kuna kituo ulikipita uzuri sinza kinaitwa popobawa....makonda wanakiita kwashemeji...na watu wanapiga chini
Ni swaga za zamani mno. Ubunifu tu. Kuna kituo ulikipita uzuri sinza kinaitwa popobawa....makonda wanakiita kwashemeji...na watu wanapiga chini
Sio swaga Mkuu
zinaitwa Old School.
Siku hizi kwa marehemu bi nyau, wakati wa uhai wake niliona picha yake mtandaoni, akiwa na paka wake kati wa tano ama sita hivi.da inachekesha pia kuna kituo huko huko kinaitwa kwa bibi nyau nilimuuliza kwanini jina hilo akaniambia kuna bibi anaishi na paka wengi ya minyau da nikabaki nacheka
Siku hizi kwa marehemu bi nyau, wakati wa uhai wake niliona picha yake mtandaoni, akiwa na paka wake kati wa tano ama sita hivi.
kwa bibi,Kwa fundi umeme