Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kituo kimoja kpo MUHEZA KUELEKEA TANGA MJINI KINAITWA mkanyageni nachekaga sana mpaka naangalia nje km kwl wanamkanyaga
pale kituo cha uwanja wa ndege....utaskia njia panda ya ulayaa...
huyu alijitafutia balaakali ilitokea pale Ukonga magereza... Makondakta si wanapaita Hostel.... Sasa Askari Magereza aliposema shusha jamaa akamuita patron.... Hapo ndo pakawaka bana
shusha jogoo......asalaaaaaleeeJogoo wapo?
mh.........no comments hapamoshi kuna kituo kinaitwa "njia ya boro",konda sasa anavyokitangaza,.boro mpooo
Hapa kwetu kunakituo katika mto, Mto unaoitwa Mbaji.Lol ukiwa na Mkweo inabidi ushuke kituo kimoja kabla. Pia kunawengine hapa Dar huwa wanashuka karibu na Mto - Mbezi.
kwa Bi Nyau alikua anafuga mapaka wengi sana mkisimama tu unayaona, lakini ameshafariki
Huyo bibi alikua jirani yangu, akimiliki Paka laki mbili na sitini na tano!
napajua mkuuHuku Upembani kuna kituo kinaitwa 'Boo Sitoki', konda akifika hapo huuliza "Boo Sitoki wapo"
Hayo ni maeneo ya Kengeja Pemba!
madafu mpoooo,,,,,,,,,shusha madafu......kituo mwembe madafu Ukonga..
Huku Upembani kuna kituo kinaitwa 'Boo Sitoki', konda akifika hapo huuliza "Boo Sitoki wapo"
Hayo ni maeneo ya Kengeja Pemba!