Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Pale wanapoita mwisho wa Lami sasa hivi kuna lami hadi Kisarawe ila bado makonda hawajawa conscious
 
Magomeni Mapipa kulikua na Mapipa Mengi sana ya Lami wakati huo barabara ndio inajengwa kwenda Ubungo, lakini bado wanaita Mapipa kuenzi kituo
 
Ule mwembe pale Mwembe Chai bado upo inasemekana kuna babu alikwa akiuza chai maarufu sana pale
 
pale kituo cha uwanja wa ndege....utaskia njia panda ya ulayaa...

kali ilitokea pale Ukonga magereza... Makondakta si wanapaita Hostel.... Sasa Askari Magereza aliposema shusha jamaa akamuita patron.... Hapo ndo pakawaka bana
 
moshi kuna kituo kinaitwa "njia ya boro",konda sasa anavyokitangaza,.boro mpooo
 
kali ilitokea pale Ukonga magereza... Makondakta si wanapaita Hostel.... Sasa Askari Magereza aliposema shusha jamaa akamuita patron.... Hapo ndo pakawaka bana
huyu alijitafutia balaa
 
Huku Upembani kuna kituo kinaitwa 'Boo Sitoki', konda akifika hapo huuliza "Boo Sitoki wapo"
Hayo ni maeneo ya Kengeja Pemba!
 
madafu mpoooo,,,,,,,,,shusha madafu......kituo mwembe madafu Ukonga..
 
Back
Top Bottom