Kuna kituo kimoja pale Kigogo kinaitwa First Inn actually ni jina maarufu la Baa, lakini sikia makonda wanavyokiita ........Vestini.............. vestini............. vestini..........afadhali hata wengine wanaosema festini
Umenikumbusha teja mmoja kitambo kidogo alikua manzese anaitia magari ya mwenge, ia iya akimaanisha sinza mia na mapengo yake.
weka na kituo chako mkuuJomba hii kaleeeeeeeeeeeeeeeee!
Umenikumbusha kuna kituo kimoja wakati unaenda mororgoro kuna kijiji kinaitwa Senge mkififka hapo kama umepanda coaster utasikia konda anasema ------- wapo? Watu wanajibu tupo! Lol!
dah, hapa nimecheka kwa kweliMimi kutuo kinachokeraga ni CCM Mbeya. Jamaa ajisema CCM mpooo? Nakaa kimya naenda kushukia Mama John au Ilomba
hata akiuliza Rose mpo????ni mtihani kama wewe sio ROSEKuna kituo hapa katika barabara iendayo SAUTmalimbe kinaitwa Rose...kama abiria wa kushuka wapo utasikia konda anamwambia dereva.,.oya tembea na Rose.
kuna kituo kingine kinaitwa daraja bovu, makonda sbb ya kupenda kukatisha utasikia wabovu mpo?????zanzibar kuna kituo kinaitwa mchamba wima! Konda anauliza 'wachamba wima mpooo?
Sinza Makaburini . Konda anauliza "MAKABURINI"
Abiria "NISHUSHE".
Sasa unageuka kuwa marehemu au?
Mama john-mbeya
Mimi kutuo kinachokeraga ni CCM Mbeya. Jamaa ajisema CCM mpooo? Nakaa kimya naenda kushukia Mama John au Ilomba