Kuna kituo kimoja pale Kigogo kinaitwa First Inn actually ni jina maarufu la Baa, lakini sikia makonda wanavyokiita ........Vestini.............. vestini............. vestini..........afadhali hata wengine wanaosema festini
Umenikumbusha teja mmoja kitambo kidogo alikua manzese anaitia magari ya mwenge, ia iya akimaanisha sinza mia na mapengo yake.