platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Yaani huu uzi hajaonekana Gang Chomba!!!!!!!!!!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani kuna mwai-KIMBA
JAMA MBA- yanga
KANU MBIYAVANGA- simba
LINO NDOMBOLO YA SOLO MUSOMBO- simba na mashujaa musica
KABONGO HONORE- yanga
Nakumbuka sana best nilikuwa never miss....nilikuwa ball boy (naokota mipira na kurudisha uwanjani pale ushirika) nikiwa shule ya msingi. Ushirika walikuwa na kocha mmoja Dan Koroso alifundisha soka maridadi sana enzi za kina Bahatisha ndulute, Ofen Martin, Stephen Nyenge, Waziri Ally, Kaunda Mwakiptope, Venance Motto...dah kumbukumbu zinaanza kupotea. Nakumbuka katika msimu mzima wa ligi ni Yanga tu iliweza kuifunga ushirika goli moja, goli lililofungwa na Abeid Mziba kwa kichwa. Timu zote ama ziliambulia sare au ziliondoka na kichapo.

Ukamtake radhi kabisa NyasiroriHuyu Abdalah Bori,anafanya kazi kwenye kampuni moja kwa sasa ambapo niko nae karibu sana aliwahi kunisimulia kwamba alikuwa mcheza mpira nikamkatalia kabisa, nimeona anatajwa hapa, kumbe ni kweli. Maana yawezekana enzi hizo nilikuwa mtoto.
mm naumia sana kuona tuliua timu yetu ya ushirika hivi hivi. sijui ni lini tena tutaingiza timu kwenye ligi ya taifa ..............
nilikuwa nakaa Rau ila mpirani sikuwa naenda as baba alikuwa anasema mpira ni wa wavulana tu, so alikuwa anakwenda na mabraza pekee.
nakumbuka niliwah kuambulia kushuhudia mechi ya ushirika ikicheza na yanga uwanja wa CCP moshi. hi ilikuwa ni mechi ya ufunguzi wakati wa michezo ya majeshi kitaifa. sikumbuki mwaka vizuri ila ilikuwa kama mwezi mzima hivi timu zote za jeshi la polis na wananchi walipiga kambi CCP kulikuwa na michezo yote ilichezwa nafikir ilikuwa kama 1989 ama 1990 hivi. Ushirika wakati huo ni bonge la timu usipime.
List ya nini?Wew list yako iko wapi au unashoboka tu?LIBOLO......
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyu Mziba kwa vichwa balaa, nasikia hata penalt alikuwa anatamani apige kwa kichwa
Acha uzushi, utakula ban kijana
Yaani huu uzi hajaonekana Gang Chomba!!!!!!!!!!!
Ally Mayai TembeleAlly Mayai
Morris Nyuchiiiii?????? Dah very funny....
JUma kachumbali
Paul rwechungura
Juma Kidishi
Athuman China/Juma China.
Salum Kabunda
Wako wengi, ngoja tuwaite watunogeshee mambo hapa...wapo wakuu kina Balantanda, WABHEJASANA, mandieta, ndetichia, watu8, Amiliki, Makoye , Amavubi, Konaball Raia Fulani, Fidel80, Katavi, El Toro, bila kumsahau Saint Ivuga na wengineo wengi. Nadhani wana kumbu kumbu nzuri za majina ya wachezaji waliokuwa wakitajwa tu inakuwa burudani tosha...
Umemssahau mtangazaji mmoja aliitwa Dominick Chilambo...alikuwa akianza na Madata Lubigisa, David Mwakalebela, Abdallah bori, George masatu, john makelele, Fumo felician....dah...ukute ni Pamba Vs Ushirika hizo gonga na alivyokuwa akiutangaza utadhani unaangalia kwenye TV..
Huyo jamaa jina lake kamili lilikuwa ni Juma Bakari Kidishi, mchezaji wa zamani wa Malindi ya Zenji....
Hawa jamaa walikwa na timu moja kali sana enzi hizo ikiwajumuisha kina Hassan Wembe, Rifat Said, Edibily Lunyamila, Athanas Michael, Kennedy(Keneth) Malitoli sina uhakika sana na hili jina, pia kulikuwepo na mzungu mmoja toka Bulgaria jina lake limenitoka pia