Munguwetu
Member
- Dec 13, 2022
- 87
- 80
Niende moja kwa moja.
Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya.
1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina heshima kubwa Sana sio kidogo.
Hapa duniani esp Tanzania naongelea mitaani kwetu. Mambo si salama Sana. Nisisitize hii ni experience yangu mimi.
2. Fatuma. Sijui Sana kuhusu ubora na waheshimiwa waliotumia Jina hili enzi na enzi. Lkn sna uzur Nako Sana Kwa watumishi.
3. Mwamvua au mwamvita.
4. Abgael