Munguwetu Member Joined Dec 13, 2022 Posts 87 Reaction score 80 Dec 14, 2022 #1 Niende moja kwa moja. Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya. 1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina heshima kubwa Sana sio kidogo. Hapa duniani esp Tanzania naongelea mitaani kwetu. Mambo si salama Sana. Nisisitize hii ni experience yangu mimi. 2. Fatuma. Sijui Sana kuhusu ubora na waheshimiwa waliotumia Jina hili enzi na enzi. Lkn sna uzur Nako Sana Kwa watumishi. 3. Mwamvua au mwamvita. 4. Abgael
Niende moja kwa moja. Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya. 1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina heshima kubwa Sana sio kidogo. Hapa duniani esp Tanzania naongelea mitaani kwetu. Mambo si salama Sana. Nisisitize hii ni experience yangu mimi. 2. Fatuma. Sijui Sana kuhusu ubora na waheshimiwa waliotumia Jina hili enzi na enzi. Lkn sna uzur Nako Sana Kwa watumishi. 3. Mwamvua au mwamvita. 4. Abgael
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Dec 14, 2022 #2 Mwamvita na Mwanaidi...
MWANAHARAMU JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 4,041 Reaction score 10,699 Dec 14, 2022 #3 Kumuacha Mwajuma, Mariamu, Queen, Angel na Mary ni dhambi kubwa. Majina yote ya Mwana Mwanaizaya Mwanajuma Mwanaisha Mwana..... Balaa tupu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kumuacha Mwajuma, Mariamu, Queen, Angel na Mary ni dhambi kubwa. Majina yote ya Mwana Mwanaizaya Mwanajuma Mwanaisha Mwana..... Balaa tupu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Dec 15, 2022 #4 Aisha sijaona kama yana shida kuzidi haya apa. Maria na ndugu yake Mariamu Lulu Lilian Suzzy Mwanaisha Tabu Shida Chausiku Pendo Safina Fatuma Halima ( hawa ni moto zaidi ) Felista Mage Mwantum Priska Jeska Doreen Chiku Bhoke Sikitu Yusra khadija
Aisha sijaona kama yana shida kuzidi haya apa. Maria na ndugu yake Mariamu Lulu Lilian Suzzy Mwanaisha Tabu Shida Chausiku Pendo Safina Fatuma Halima ( hawa ni moto zaidi ) Felista Mage Mwantum Priska Jeska Doreen Chiku Bhoke Sikitu Yusra khadija