KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Kumekuwa na malumbano makali juu ya majina ya wajumbe wa PCT yaliyo pelekwa ofisi ya Ikulu lakini yakatupwa.
Utafiti unaonyesha kuwa kutupwa kwa majina hayo kulifanyika kwa makusudi lakini baada ya kufanya hivyo sasa wahusika wanalaumiana.
Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Leornadi Manyama ( Mwanasheria wa PCT)
2.Askofu Pau Shemsanga(0652 297358)
3.Askofu Bathoromeo Shega
4.Askofu Bruno Mwakiblwa.
5.Yohana Masinga
6.Rejoyce Ndalima
7.Askofu Eric Mwambigija
8.Askof Banabas Mtokambali( Askofu Mkuu wa TAG)
9.Askofu Davidi Andulile Mwasota( Katibu Mkuu PCT)
Aidha imebainika kuwa serikali ilitaka kuweka vibaraka wao katika majina haya ambapo Askofu Pius Ikongo , Mch. Antony Lusekelo na askofu Gamanywa walikuwa wameandaliwa kama jinsi ilivyofanya katika makundi mengine.
Hofu nyingine imebainika kuwa PCT walikuwa na msimamo wa serikali tatu ambapo ni mwiba wa CCM.
Mtu anayetajwa kuyapokea majina hayo Ikulu na kufanya nao mawasiliano ni Mwanamke ambaye bado sijapata jina lake.
Hata hivyo baada ya Gazeti la Jibu la Maisha kuanika ukweli Ikulu iliwaita Kinyemela Baadhi ya Maaskofu na kuwadanganya kuwa wanyamaze kimya kwani Rais Kikwete anafanya utaratibu wa Kuwateua jambo ambalo liliwafanya wanyamaze kimya.
Hadi leo hatkuna kilichofanyika na Kikwete anazidi kupeta>