Majina ya Wajumbe wa PCT yaliyopelekwa Ikulu ya Kiwete Haya hapa!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Kumekuwa na malumbano makali juu ya majina ya wajumbe wa PCT yaliyo pelekwa ofisi ya Ikulu lakini yakatupwa.
Utafiti unaonyesha kuwa kutupwa kwa majina hayo kulifanyika kwa makusudi lakini baada ya kufanya hivyo sasa wahusika wanalaumiana.
Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Leornadi Manyama ( Mwanasheria wa PCT)
2.Askofu Pau Shemsanga(0652 297358)
3.Askofu Bathoromeo Shega

4.Askofu Bruno Mwakiblwa.
5.Yohana Masinga
6.Rejoyce Ndalima
7.Askofu Eric Mwambigija
8.Askof Banabas Mtokambali( Askofu Mkuu wa TAG)
9.Askofu Davidi Andulile Mwasota( Katibu Mkuu PCT)

Aidha imebainika kuwa serikali ilitaka kuweka vibaraka wao katika majina haya ambapo Askofu Pius Ikongo , Mch. Antony Lusekelo na askofu Gamanywa walikuwa wameandaliwa kama jinsi ilivyofanya katika makundi mengine.
Hofu nyingine imebainika kuwa PCT walikuwa na msimamo wa serikali tatu ambapo ni mwiba wa CCM.
Mtu anayetajwa kuyapokea majina hayo Ikulu na kufanya nao mawasiliano ni Mwanamke ambaye bado sijapata jina lake.

Hata hivyo baada ya Gazeti la Jibu la Maisha kuanika ukweli Ikulu iliwaita Kinyemela Baadhi ya Maaskofu na kuwadanganya kuwa wanyamaze kimya kwani Rais Kikwete anafanya utaratibu wa Kuwateua jambo ambalo liliwafanya wanyamaze kimya.

Hadi leo hatkuna kilichofanyika na Kikwete anazidi kupeta>
 
mbona walokole hawana gender balance?majina almost yote mbona wanaume?!
 
Kwa hiyo unamaanisha waliochaguliwa kutoka madhehebu mengine ni waumini wa serikali tatu?
 
Jk atakoma maana hao jamaa ni wazee wa sala kweli wacha jk alete utani
 
Wakristo waliopo bungeni wanatosha kuwawakilisha wakristo wenzao nchini. Acheni ubinafsi na umimi
 
Haya madhehebu ni wakristo au wapagani, maana pale bungeni kuna watu wa makundi yote labda watoto
 
Wana haki ya kulalamika Jk aliwaacha akajaza wana ccm wenzake... Ni jambo baya sana kwa Jk
 
Ccm ina wabunge wachungaji wa madhehebu hayo ni wa4 na cdm wana msigwa na yule wa karatu yan ni viongozi wa dini kabisa,acheni udinidini!!!
 
Mbaya zaidi amesababisha mpaka Askofu Kakobe atoe ufunuo wa jinsi chama na serikali ya JK itakavyoangamia kama hatatubu. Sijui Ikulu itamchagua nani kati ya hawa ili imuongoze JK na jopo lake sala ya toba.
 
Kumekuwa na malumbano makali juu ya majina ya wajumbe wa PCT yaliyo pelekwa ofisi ya Ikulu lakini yakatupwa.
Utafiti unaonyesha kuwa kutupwa kwa majina hayo kulifanyika kwa makusudi lakini baada ya kufanya hivyo sasa wahusika wanalaumiana.
Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Leornadi Manyama ( Mwanasheria wa PCT)
2.Askofu Pau Shemsanga(0652 297358)
3.Askofu Bathoromeo Shega

4.Askofu Bruno Mwakiblwa.
5.Yohana Masinga
6.Rejoyce Ndalima
7.Askofu Eric Mwambigija
8.Askof Banabas Mtokambali( Askofu Mkuu wa TAG)
9.Askofu Davidi Andulile Mwasota( Katibu Mkuu PCT)

Aidha imebainika kuwa serikali ilitaka kuweka vibaraka wao katika majina haya ambapo Askofu Pius Ikongo , Mch. Antony Lusekelo na askofu Gamanywa walikuwa wameandaliwa kama jinsi ilivyofanya katika makundi mengine.
Hofu nyingine imebainika kuwa PCT walikuwa na msimamo wa serikali tatu ambapo ni mwiba wa CCM.
Mtu anayetajwa kuyapokea majina hayo Ikulu na kufanya nao mawasiliano ni Mwanamke ambaye bado sijapata jina lake.

Hata hivyo baada ya Gazeti la Jibu la Maisha kuanika ukweli Ikulu iliwaita Kinyemela Baadhi ya Maaskofu na kuwadanganya kuwa wanyamaze kimya kwani Rais Kikwete anafanya utaratibu wa Kuwateua jambo ambalo liliwafanya wanyamaze kimya.

Hadi leo hatkuna kilichofanyika na Kikwete anazidi kupeta>

Huyu namba ana mwanae ni mtumishi wa bunge pale dodoma,
 
Back
Top Bottom