Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Somalia wanaongea lugha moja, dini moja na ni mfano hai wa namna lugha haitoshi kuondoa ujinga, mnaweza mkaongea lugha moja lakini mpo mazombi tu miaka yote hamueleweki mnakotoka na mnakokwenda.
Somalia hawaongei lugha moja, kuna Kiarabu, Oromo, Kisomali chenye lahaja nyingi, na factions nyingi za kidini piaSomalia wanaongea lugha moja, dini moja na ni mfano hai wa namna lugha haitoshi kuondoa ujinga, mnaweza mkaongea lugha moja lakini mpo mazombi tu miaka yote hamueleweki mnakotoka na mnakokwenda.
But pointi yangu haikuwa kutokuwepo kwa makabila tofauti basi hakuna migogoro, migogoro inasababishwa na vitu vingi, lakini kitu kimoja kinachochangia migogoro katika nchi nyingi zenye migogoro Afrika ni ukabila
Ukabila unafanya waafrika kama manyumbu hivi, anzia Ivory Coast, Rwanda, DRC, Ethiopia, South Africa, Kenya, Sudan n.k kote kushatokea vurugu kubwa ambacho chanzo chake ni sentiments za ukabila
Yaani ni ufala flani hivi.
Yaani unakuta wanasiasa wanawa charge na hisia za kikabila huku nyie mnajaa upepo mnapigana, wao wanakula kuku wakikutana wanacheka, uchaguzi unaokuja unashangaa walikuwa maadui lakini wanaungana, nyie wanawajaza mihemko na kuwageuza kama chapato tu