Majina ya Wakenya

Majina ya Wakenya

Somalia wanaongea lugha moja, dini moja na ni mfano hai wa namna lugha haitoshi kuondoa ujinga, mnaweza mkaongea lugha moja lakini mpo mazombi tu miaka yote hamueleweki mnakotoka na mnakokwenda.

Somalia hawaongei lugha moja, kuna Kiarabu, Oromo, Kisomali chenye lahaja nyingi, na factions nyingi za kidini pia

But pointi yangu haikuwa kutokuwepo kwa makabila tofauti basi hakuna migogoro, migogoro inasababishwa na vitu vingi, lakini kitu kimoja kinachochangia migogoro katika nchi nyingi zenye migogoro Afrika ni ukabila

Ukabila unafanya waafrika kama manyumbu hivi, anzia Ivory Coast, Rwanda, DRC, Ethiopia, South Africa, Kenya, Sudan n.k kote kushatokea vurugu kubwa ambacho chanzo chake ni sentiments za ukabila

Yaani ni ufala flani hivi.

Yaani unakuta wanasiasa wanawa charge na hisia za kikabila huku nyie mnajaa upepo mnapigana, wao wanakula kuku wakikutana wanacheka, uchaguzi unaokuja unashangaa walikuwa maadui lakini wanaungana, nyie wanawajaza mihemko na kuwageuza kama chapato tu
 
Lugha ni moja hata kama lahaja ni tofauti, ni kama ilivyo hata kwa Kiswahili, ukimskliza Msukuma na Mpemba wote wakiongea Kiswahili utahisi utofauti wakati wote wanaongea lugha moja kwenye nchi moja.

Pointi yangu ni kwamba kama mna kasoro la ubaguzi hata muongee lugha moja bado mtabaguana, aidha mtatafutana kwenye udini au hata vyama vya kisiasa. Unakuta mtu mjinga na mshamba wa kupitiliza katelekeza lugha yake ya asili ili asionekane mkabila, anaamua miasha yake yote ni mwendo wa Kiswahili ila anaishi kwa kubagua wenzake kwa misingi ya kisiasa kichama na kidini, wakati zote hizo yaani dini, chama, na hata Kiswahili ni vitu vya kuletwa wala hata sio asili yake, upumbavu sana.
Utakuta watu bado wana vikasoro vyao kama hivi licha ya kuongea Kiswahili miaka yote

Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali
 
Sijasema ubaguzi unaisha makabila yasipokuwwpo, ila baguzi mkubwa unaoleta migogoro mingi nchi za ulimwengu wa 3 ni ukabila, nimekutajia nchi kadhaa ambazo kumfanyika mauaji na yote ni sababu ya ukabila.
Na sijasema pia Tz ipo free na ukabila, makabila yapo na washamba wanaondekeza ukabila wapo.

Kabila halina chochote zaidi ya illusion za kijinga tu, sio kuwa mtu wa kabila lako ndio mzuri kuliko wa kabila jingine, ni upuuzi unaotokana na ubinafsi na kutokuchangamana
 
Na mimi najaribu kukuelimisha kuongea lugha yako ya asili sio ukabila, mpaka utakapokua na uwezo wa kutenganisha tofauti hautokuja unielewe. Ukabila ni pale unambagua mtu kwa kutumia kigezo cha kabila lake, lakini mtu kutumia lugha yake ya asili pale anawasiliana na mtu wa asili yake baina yao huo sio ukabila.

Haitokuja siku tukumbatie uzezeta wa kutelekeza asili zetu, lugha zetu ambazo ndio urithi wetu eti tukumbatie Kiswahili lugha ya kubuniwa na mwarabu, halafu huu upumbavu uko hapa Afrika tu, ukifuata Wachina, Warusi n.k. Wote wamekomaa kwenye lugha zao, hawajawa na huu ushamba.

Kiswahili tunakipenda kinawezesha baina ya jamii zetu kuwasiliana, ila chenyewe ni mojawapo wa lugha tunazotumia, hatuwezi kuganda kwenye lugha moja kama manyumbu, IQ zetu haziruhusu, tuna uwezo wa kutumia lugha zaidi.
 
Kwa hiyo ukienda Uarabuni ukaongea Kiswahili utaeleweka sababu Kiswahili ni lugha ya Waarabu? 😂
Ukimpelekea Mwarabu haya maandishi niliyoandika atayaelewa sababu hii ni lugha yao?

So Wachina, Warusi wana lugha zao kwa nchi zao, Kenya wana lugha gani ambayo mgeni anaijui nikiwa Kenya nitaongea lugha hii? 😂

Nchi kama Kenya au Ethiopia au Sudan ambao mnaendekeza makabila mna nini cha kuzidi nchi kama Sweden kwa mfano, mbayo haina makabila zaidi ya siasa za hovyo?

Mimi nisipokuwa na kabila wewe uliye na kabila utanizidi nini? Nitakosa familia? Ndugu? Kazi? Wateja? Nitatengwa?
 
Hautaeleweka maana Kiswahili sio Kiarabu, ila Waarabu walichangia pakubwa kwenye kukibuni enzi zile walikua wanabaka mababu zetu kule pwani.
Hakuna mtu dunia hii asiyekua na asili, sema kuna mazezeta mumetelekeza asili zenu, tunawazidi kwenye sense of belonging, ni kitu hauwezi kukielewa maana tayari wewe hapo mtumwa hahaha!!! Hauna tofauti na Mwafrika Mweusi aliyepelekwa Ulaya na kuetelekeza asili yake, huishi tu maisa yaende.
Wachina na Warusi ndio wataelewa kile ambacho sisi huhisi, huo ufahari wa kuwa na asili yako na kuongea lugha ya asili yako.
 
Mimi Kiarabu nakifahamu kwa kiasi chake, nadhani hukifahanu kabisa ndio maana ukaja na hayo maneno kuwa kina Uarabu ndani yake, So nakupa kazi ndogo hebu nenda Google translate kisha utafsiri ulichoandika kwa Kiarabu itakuletea text za Kiarabu na za kawaida jinsi ya kusoma kilichoandikwa utaona kama kuna maneno hata 5 yatakayofanana, au tafuta Mwislamu akutafsirie kwa Kiarabu uone

Sarufi ya Kiswahili haifanani kabisa na Kiarabu, inafanana na ya lugha za kibantu, zaidi ya asilimia 90 ya msamiati ya Kiswahii sio ya Kiarabu, ni lugha za kibantu,.

Na hiyo sense of belonging unayozungumzia ni ipi? Nimekuambia nina familia, nina ndugu, nina marafiki, nina taifa, na ni mwafrika, belonging ipi ya itakayoninyima furaha ninayoikosa hapo?

Nikasema ukienda hata huko Urusi unakosema ni hivyo hivyo, mtu ana familia, ndugu, majirani, taifa lake, hakuna makabila, so wao wamekosa kitu gani kinachopatikana kwenye nchi zenu zaidi ya vita na chuki ya ukabila?
Wana furaha zaidi, maendeleo zaidi, ufanisi wa kazi zaidi,
 
Hili la waarabu kuhusika pakubwa kwenye kubuni kiswahili, tulishajadili humu sana nyuzi nyingi tu, hivyo linaeleweka pakubwa, chimbua mwenyewe humu utajielimisha kitu, hata jina "Swahili" lilibuniwa na mwarabu alipotohoa kutoka kwa neno lake la Kiarabu "sahil", fanya kautafiti kidogo.
Waarabu walichanganya na maneno ya kibantu ili kubuni Kiswahili enzi hizo wanabaka mababu zetu.

Kuhusu wewe kuwa na majirani, binamu na sijui akina nani hao sio issue maana hata wavaa milegzo hapo Dar wasiojua asili zao wote wana majirani na ndugu na binamu, ila sisi tuliorithi lugha zetu za asili na kuzitumia wakati tunawasiliana na watu asili zetu ndio tunajua mnachokikosa nyie mliotelekeza asili zenu.

Narudia tena, kuongea lugha yako ya asili sio ukabila, ukitumia muda wako kujielimisha hilo utapata faida na kutafuta mababu zako wakufunze lugha yako na asili yako.
Wachina, Warusi n.k. wanalijua hilo na wamekomaa lugha zao.....hawana huu utumwa wenu.
 
Hebu niambie hata kwa kifupi tu, Kiswahili kinafana vipi na Kiarabu? Mimi nimekutajia jinsi kisivyofanana kuanzia kwenye muundo na maneno. Kama ni msamiati michache kila lugha imechangiwa misamiati na lugha nyingine

Haya, unatolea mfano sana hiyo China na Urusi, mimi nikakuuliza China na Urusi ni nchi moja zenye lugha moja, hazina makabila, Kenya au hao wengine wanafanana kivipi na hilo?

Halafu umesema kuwa na ndugu ama familia sio ishu? Yaani ku belong kwenye kabila flani ni muhimu kuliko kuwa na famila na ndugu?😂😂
 
Kuna vitu vikishaingia kwenye damu ni ngumu sana kuvitoa yani ni kama sober vile… Leo ukimuuliza uyo jamaa chanzo cha ukabila Kenya sijui atakataa ni kuenzi hayo makabila ndo yameleta hiyo shida…

Leo hii hata ikitokea kazi yoyote, pakitokea watu wawili wenye sifa zinazofanana,wa kwanza kupewa ni yule wa kabila au wa kanda anayotokea mtu wa kabila lake… Ndo unakuta taasisi fulan wamejaa watu wa kabila fulan..
Na icho kitu hata hapo kwao kipo sana tena kwao ndio situation ipo vibaya zaidi ya hapa kwetu…

Uyo jamaa anabisha eti tuenzi lugha lakin kiukweli ni ngumu sana mtu ambae huwa unaongea nae lugha za kinyumban kumuacha kwenye issue yoyote ile yenye competition ilihalli wewe ndo uliyeshika mpini.. Yan ni kama lugha ile inaleta unit kwenu kwa iyo kwenye kitu chochote mtaanza nyinyi kwanza then wengine wafuate…

Leo ukiangalia mataifa mengi ya Africa yamechinjana sababu ya hayo mambo ya hayo mambo likiwemo lao wenyewe, jiulize kwanini? Kwamba wao ndo walikua sio wazalendo sana kwa wenzao ? Hapana ni kwa sababu waliendekeza mambo ya ukabila ukiwemo lugha na vitu vingine..

Asichokijua uyo jamaa ni kwamba lugha yoyote ile inaleta unit kwa nyie wazungumzaji wa iyo lugha, kwa iyo kitu chochote kile kitakachofanyika mtajianza nyinyi kwanza.. ndicho kilichotokea sehemu zote zile zenye vita za kikabila..

Japo sijui kwanini anafananisha Lugha ya China na kirusi wakati ni lugha inayoongelewa nchini mwao na ndio inawaunganisha taifa zima na ilhali wao hawana makabila kama Africa… Au inawezekana kwao yalikuepo lakini yalishaharibiwa kutokana na kutoonekana sababu ya maana kuwepo…
 
Jamaa ni kama hajielewi flani hivi, yaani anatolea mifano isiyoendana kabisa
Halafu anaponda lugha hizo zinazoweza kuwanganisha kuwa ni za kigeni, lakini ndio zinatumika na serikali na viongozi wao kwenye masula yote ya kitaifa, sasa sijui bado wapo kwenye ukoloni

Viongozi wao wanawaongelesha kilugha kwenye kampeni za siasa kucheza na mihemko yao wawaone wao ndio watawasaidia zaidi kwa sababu ni mtu wa nyumbani

Ila uhalisia haupo hivyo, mtu wa kabila lako ama asiye kabila lako naweza kuwa mbaya au mzuri kwakp kutokana na character yake tu, huu ushamba sijui utajuja kuisha lini
 
Wakenya tunapenda majina zetuza kiasili
Ekuru Aukot
Miguna Miguna
Kithure Kindiki
Babu Owino
Mwai Kibaki
Anyang' Nyong'o
Kimani wa Ichung'wa
Okoth Obado
Kiremi Mwirwa
Otieno Kajwang'
Okong'o Omogeni
Kalonzo Musyoka
Kiraitu Murungi
 
Uzungu upi sasa? Watanzania bana, yaani mtu akijua tu kuongea kiingereza, ndio tayari amekuwa mzungu? Watanzania si ndio mnaongoza kwa kuukumbatia huo 'uzungu'? Sio kwa yale majina yenu ya ajabu ajabu, utasikia eti JoanFaith John Kataria, mara sijui Jane John, Andrew Peter, n.k, na hao ni watanzania weusi tititi, ni zaidi ya aibu.

Sijui kwanini watanzania ambao hawajafika Kenya huwa wanadhani kwamba wakenya wanaongea kiingereza 24/7, kutoka che hadi machweo. Kiswahili ndio lugha ya mawasiliano nchini Kenya kwa asilimia kubwa. Ila wakenya tangia jadi huwa wanajivunia sana mila na tamaduni wao.

Wakenya wanathamini lugha zao za asili kwanza, kabla ya lugha yeyote nyingine. Kiswahili, kiingereza au hata kifaransa zote hizo kwetu ni lugha za kigeni. Tukisema hivyo huwa mnaishia kusema kwamba huo ni ukabila. Majirani mlipangwa ndani ya mfumo wa lugha moja hadi mkapangika kupindukia. Mwacha mila ni mtumwa, walisema wazee wa Ndemi na Mathathi
Kwa upande mwingine mkuu hili linasababishwa na kuendekeza ukabila huko kwao, kitu ambacho kina mabaya mengi kuliko hayo mazuri machache uliyoyataja. Unajua kwanini mpaka leo wanajua kwanza lugha zao za asili kabla ya lugha nyingine? Hii ni kutokana na ukabila wao kuendelea kuoana watu wa kabila moja tu vizazi na vizazi. Hapa Tanzania ndoa za kabila moja ni chache sana nafikiri zimebakia vijijini tu tena kwenye vijiji vya ndanindani saana ambapo muingiliano wa jamii ni mdogo sana. Sasa baba Muhaya mama Mluguru mtoto kazaliwa na kukulia Dar es salaam kwa wazaramo unategemea huyu mtoto ajifunze lugha ipi zaidi ya kiswahili?
 
Huyu aliyeandika hivi pengine ni form 6 leaver!
1: NDINDI NYORO[emoji1787][emoji1787]
2: MUSALIA MUDAVADI
3:RAIRA ODINGA
4: WAIFULA CHEBUGHATI
5: RIGATHI GASHAGUA
6: MUTURA KILONZO
7:
8:
9:
MKO NA MAJINA MAZURI SANA YA KIAFRIKA, NAJIULIZA HUU UZUNGU MLIUPATANGA WAPI? [emoji35]

Weka na wewe Majina ya wakenya unayoyajua uondoe [emoji51]
Ovyo kabisa elimu ya TZ
 
Kwa upande mwingine mkuu hili linasababishwa na kuendekeza ukabila huko kwao, kitu ambacho kina mabaya mengi kuliko hayo mazuri machache uliyoyataja. Unajua kwanini mpaka leo wanajua kwanza lugha zao za asili kabla ya lugha nyingine? Hii ni kutokana na ukabila wao kuendelea kuoana watu wa kabila moja tu vizazi na vizazi. Hapa Tanzania ndoa za kabila moja ni chache sana nafikiri zimebakia vijijini tu tena kwenye vijiji vya ndanindani saana ambapo muingiliano wa jamii ni mdogo sana. Sasa baba Muhaya mama Mluguru mtoto kazaliwa na kukulia Dar es salaam kwa wazaramo unategemea huyu mtoto ajifunze lugha ipi zaidi ya kiswahili?
Kwahivyo Baba akiwa Mhaya na Mama Mluguru, ndio inahalalisha watoto wao kuitwa James Michael David na Ann Michael David? Umesikia lini hao ngozi nyeupe mnaowaiga wakiitwa majina kama Mungai, Kunle au hata Kaguta? Aliyekuambia Kenya watu wa makabila tofauti huwa hawaoani ni nani?

Nchini Kenya kuna makabila ambayo yana muingiliano mkubwa sana, tena tangia jadi kabla ya ukoloni. Kwa mfano utapata watu wenye majina ya Kikikuyu ila lugha na tamaduni zao ni za kimaasai. Kuna hadi makabila ambayo yalimezwa kabisa na makabila mengine na yakapotea kabisa. Kwa mfano wakikuyu walimeza kabisa makabila mawili madogo yaliyoitwa Gumba na Athi.
 
Back
Top Bottom