Naomba msaada nisaidiwe kuyapakua maana siwezi soma PDF
Msaada jafari juma civil engineering
Wadau kwenye Website Ya Ardhi University wamewekaa Majina Ya Waliochaguliwaa kujiunga na chuo 2014/2015 Lakini Hayafunguki Tatizo Nini?
............................................
Mkuu naomba unisaidie kuniangalizia ndugu yangu ....Neema Nyanzali
..architecture
Mliochaguliwa Ardhi University Karibuni sana, ila changamoto ya kwanza pekee ni Accomodation, mjipange kulipia vyumba mtaani na kwenye hosteli binafsi. Zingatia uliyopewa kwenye joining instruction, hapa ni kwenda na muda local darasani kama kawaida, uwajibikaji ndio kipaumbele chetu, ukiwa mzembe wiki ya kwanza tu unabeba begi kurudi kijijini. Karibuni Ardhi University.
Hahaha hamna time for socialising
Msaada simon mhina -civil engineering
IFM na CBE ndo kuna hivyo vitu, hapa ni busy full time kumbuka course nyingi hapa ni za designing, unakuta Archtect ametandika kanga/kitenge nje kalala anachora sasa hizo socializing ni zip unaxotaka wewe, hapa hakuna Magorofa ya kutalii kama Udom, umrkuja kusoma ,soma uondoke na digrii
nichekie plz
osmunda mbeyela
architecture & land management
Mbona naskia ardhi ni kama vyuo mbuzi vingine, simply msuli wake ni lelemama sana, mi kuna jamaa kamaliza hapo mwaka huu alikuwa anapiga bulding economy yani jamaa alikuwa anashinda maisha club na bilcnz so inshortly hapo hakuna msuli full maGPA makubwa bila efforts.