Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

Napia naomben kuuliza 95% ya watu walio aply kupitia nacte hawajachaguliwa inakuaje na mambo yanakwendaje
 
Mkuu naomba unisaidie kuniangalizia ndugu yangu ....Neema Nyanzali
..architecture
 
Hii course iko vipi bsc in environment science and management???
 
Mliochaguliwa Ardhi University Karibuni sana, ila changamoto ya kwanza pekee ni Accomodation, mjipange kulipia vyumba mtaani na kwenye hosteli binafsi. Zingatia uliyopewa kwenye joining instruction, hapa ni kwenda na muda local darasani kama kawaida, uwajibikaji ndio kipaumbele chetu, ukiwa mzembe wiki ya kwanza tu unabeba begi kurudi kijijini. Karibuni Ardhi University.
 
Hahaha hamna time for socialising
 
Hahaha hamna time for socialising

IFM na CBE ndo kuna hivyo vitu, hapa ni busy full time kumbuka course nyingi hapa ni za designing, unakuta Archtect ametandika kanga/kitenge nje kalala anachora sasa hizo socializing ni zip unaxotaka wewe, hapa hakuna Magorofa ya kutalii kama Udom, umrkuja kusoma ,soma uondoke na digrii
 
Mbona naskia ardhi ni kama vyuo mbuzi vingine, simply msuli wake ni lelemama sana, mi kuna jamaa kamaliza hapo mwaka huu alikuwa anapiga bulding economy yani jamaa alikuwa anashinda maisha club na bilcnz so inshortly hapo hakuna msuli full maGPA makubwa bila efforts.
 
Njoo ushuhudie, ya kusikia yana upepo
 
Back
Top Bottom