Jackal Malinza
Member
- Aug 28, 2013
- 33
- 4
Haya ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na JKT tarehe 28 September but ki uhalisia hakuna barua inayoelezea kwamba tunatakiwa tuingie tarehe 28 september hivyo mpaka sasa bado nipo dilema, mnaweza nisaidia kama mnataarifa ya barua inayosema tarehe 28 sept
Duuuuu! Kumbe walirudisha hili jinamizi laitwa JKT? Kweli serikali hii ina pesa za mchezo
mwana nichekie huyu jamaa HAGAI MAVANZA
amechaguliwa MGAMBO JKT
nichekie joshua mashaka haridi
Haya ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na JKT tarehe 28 September but ki uhalisia hakuna barua inayoelezea kwamba tunatakiwa tuingie tarehe 28 september hivyo mpaka sasa bado nipo dilema, mnaweza nisaidia kama mnataarifa ya barua inayosema tarehe 28 sept
kuna uvumi kua eti yalikua makosa ya kiufund ko watu hawend uko jkt ni kweliii?